Mama Salma Kikwete Katika Mazungumzo na Mke wa Rais wa China

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo rasmi na mwenyeji wake Mama Peng Linyuan, Mke wa Rais wa China Mheshimiwa Xi Jinping kwenye jumba la mikutano la The Great Hall of China jijini Beijing tarehe 24.10.2014. PICHA ZOTE NA JOHN LUKUWI.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatana na mwenyeji wake Mke wa Rais wa China Mama Peng Liyuan wakielekea kwenye chumba maalum kilichoko kwenye ukumbi wa The Great Hall of China kwa ajili ya kufanya mazungumzo. Mama Salma yupo nchini China akifuatana na Mume wake Rais Dk. Jakaya Kikwete kwenye ziara nchini humo.