Matukio Picha Mkutano Mkuu CCM Wilaya ya Ilala

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wanachama wa CCM, wakati alipokuwa akifunga mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, uliofanyika Oktoba 19, 2014 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya ya Ilala kuimba wimbo maalum wa Chama wakati Dk. Bilal, alipokuwa akifunga rasmi Mkutano mkuu wa CCM wa Wilaya hiyo Oktoba 19, 2014 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Wanachama wa CCM wakati akiondoka kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Oktoba 19, 2014 baada ya kufunga rasmi Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Ilala. Picha na OMR.

Baadhi ya Wanachama wa CCM Wilaya ya Ilala, wakiimba na kushangilia kwa furaha wakati walipokuwa wakimsikiliza Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia alipokuwa akifunga rasmi Mkutano Mkuu wa wanachama wa CCM Wilaya ya Ilala. Picha na OMR