Rais Kikwete Aongoza Kikao cha Hamlmashauri Kuu CCM

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisomaRais Kikwete Aongoza Kikao cha Hamlmashauri Kuu CCM Utangangulizi na kolam ya wajumbe na kumkaribisha Kikwete kuongoza, kabla ya kikao hicho kuanza. Kulia ni Mangula.

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao hicho

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwa ukumbini tayari kuongoza kikao hicho leo.

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao hicho

Wajumbe wa kikao hicho, Ridhiwani Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijadili jambo kikaoni.

Kaibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akimsalimia Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai ukumbini.

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani, Joyce Masunga akimsalimia mjumbe mwenzake, Mama salma Kikwete ukumbini