Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi
Tanzania (JWTZ) Marehemu Muhiddini Kimario katika makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11, 2014.

Tanzania (JWTZ) Muhiddini Kimario katika makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11,
2014.
Tanzania (JWTZ) Muhiddini Kimario katika makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11,
2014.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Jakaya Kikwete akiwasili kwenye mazishi ya la Meja
Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Muhidini Kimario katika makaburi ya manispaa ya Moshi. Kulia kwake ni
Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, aliyemwakilisha Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange ambaye yuko nje ya nchi. Kushoto kwa Rais ni Brigedia Jenerali Amos Martin Kemwaga.

Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu.
Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu.
Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu.
Bendi ya JWTZ ikiongoza msafara kuelekea kaburini.
Askari wa JWTZ wakiwasili makaburini.
Jeneza likipelekwa kaburini tayari kwa mazishi.
Askari wa JWTZ wakiwa tayari kutoa heshima za mwisho za Kijeshi pembeni mwa kaburi.
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu Muhiddin Mfaume Kimario likikabidhiwa viongozi wa dini kwa mazishi
kabla ya shughuli za kuagwa kijeshi hazijaanza.
Sehemu ya waombolezaji
Waombolezaji katika mazishi
Umati mkubwa wa wananchi wa manispaa ya Moshi na sehemu zingine wakiwa katika mazishi.
Mazishi
Sehemu ya wanahabari kwenye mazishi. Wa tatu toka kulia ni Dixon Busagaga, mwakilishi wa Globu ya Jamii Kanda ya
Kaskazini.
Kaskazini.
Brigedia Jenerali Ibrahim Kimario akiweka udongo kaburini.
Dua baada ya maziko
Watoto wa marehemu na ndugu wengine wa karibu.
Baada ya ndugu wakiongozwa na viongozi wa dini kumaliza maziko, Askari wa JWTZ walichukua nafasi yao kuaga kwa heshima zote za kijeshi ikiwa ni pamoja na kupigwa mizinga.
Rais kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dk. Msengi na Meja Jenerali
Ezekiel Kyunga, mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.
Ezekiel Kyunga, mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.
Askari akitoa ishara wakati wa kupigwa mizinga
“Last Post” ikipigwa
Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi jenerali Davis Mwamunyange akisoma salamu za rambirambi za
JWTZ
JWTZ
Rais Kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya
Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi, akikabidhi salamu za rambirambi kwa mtoto wa
marehemu
marehemu
Mtoto wa marehemu Mfaume Kimario akitoa shukurani
Watoto wa marehemu wakifarijiana
Rais Kikwete akiwafariji watoto wa marehemu
Rais Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu.
Rais Kikwete akimfariji mjane wa marehemu.
Rais Kikwete akiwafariji familia ya marehemu
Rais Kikwete akitoa pole kwa familia
Rais Kikwete akiaga waombolezaji
Rais Kikwete akiagana na waombolezaji
Rais Kikwete akiongea na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
wakati akiwa anaondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro.
wakati akiwa anaondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro.
Rais
Kikwete akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mhe. Novatus Makunga kabla
ya kuondoka kurejea Dar es salaam. PICHA NA IKULU
Kikwete akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mhe. Novatus Makunga kabla
ya kuondoka kurejea Dar es salaam. PICHA NA IKULU