Ziara ya Kinana wa CCM Iringa Mjini

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika, Oktoba 11, 2014, kwenye Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa mjini, mwishoni mwa ziara yake mkoani humo.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana uliofanyika Oktoba 11, 2014, kwenye Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa mjini. Nape amepanda jukwaani licha ya maumivu ya mkono aliyopata asubuhi wakati akishiriki mechi baina ya wachezaji wa msafara wa Kinana na timu ya Veterani wa mjini Iringa kwenye Uwanja wa Sokoine. Picha zote kwa Hisani ya CCM.