Katibu Mkuu CCM Ziarani Mafinga Wilayani Mufindi

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo kwenye mkutano mkuu wa CCM jimbo la Mafinga Kaskazini.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda mti wa kumbukumbu kwenye viwanja vya Kampuni ya Sao Hill.

Mti wa kumbukumbu uliopandwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwenye Ofisi za Kampuni ya Sao Hill, wilayani Mufindi ulivyostawi Sao Hill.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea saluti ya Vijana wa CCM alipowasili wilayani Mufindi mkoani Iringa.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika, Oktoba 9, 2014 kwenye Uwanja wa Mashujaa, mjini Mufindi akiwa katika ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wilani ya Chama mkoani Iringa.

Katibu Mkuu wa CCM akikagua kiwanda cha upasuaji mbao cha Emmanuel Investiment, Wilayani Mufindi.