Rais Kikwete Apokea Katiba Inayopendekezwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Mohamed Ali Shein wakiwa wameinua juu Katiba inayopendekezwa katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma Oktoba 08, 2014 Kulia ni Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba Samuel Sitta akifuatiwa na Makamu wake Mhe samia Suluhu Hassan.

Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba, Samuel Sitta akikabidhi katiba inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Mohamed Ali Shein katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma Oktoba 08, 2014.