Kiota Kipya cha Fursat Dhahabiyya Kigamboni Chazinduliwa

 Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile (Wa Pili Kulia) akifungua Rasmi kiota kipya Mji Mwema Kigamboni kinachoitwa Fursat Dhahabiyya.

Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile (Wa Pili Kulia) akifungua Rasmi kiota kipya Mji Mwema Kigamboni kinachoitwa Fursat Dhahabiyya.

 Wadau mbalimbali wakijivinjari ndani ya kiota kipya cha Fursat
Dhahabiyya
Kilichopo Mji Mwema Kigamboni
 Muonekano kwa ndani wa Kiota Hicho