Bw. James Mwangwa na Bi. Mary Kimbi Wafunga Pingu za Maisha

Bwana Harusi ya James W. Mwangwa na Bi. Harusi Mary C. Kimbi wakiwa katika sherehe ya harusi yao iliyofanyika Oktoba 4, 2014 katika Ukumbi wa ‘Mwenge Social  Hall’- Mwenge. Ibada ya Harusi yao ilifanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Makuburi jijini Dar es Salaam.

Bwana Harusi ya James W. Mwangwa na Bi. Harusi Mary C. Kimbi wakiwa katika sherehe ya harusi yao iliyofanyika Oktoba 4, 2014 katika Ukumbi wa 'Mwenge Social  Hall'- Mwenge. Ibada ya Harusi yao ilifanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Makuburi jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya ndugu, Jamaa na Marafiki wakiwapongeza maharusi katika hafla kabambe ya harusi yao.

Wazazi wa biharusi wakiwapongeza maharusi katika hafla kabambe ya harusi yao.

Bwana Harusi ya James W. Mwangwa na Bi. Harusi Mary C. Kimbi wakiwa katika pozi baada ya msosi kwenye sherehe ya harusi yao ‘Mwenge Social Hall’- Mwenge, Dar es Salaam.

Mduara na muziki...! Wageni waalikwa wakiserembuka ukumbini kwa raha zao.

Mduara na muziki…! Wageni waalikwa wakiserembuka ukumbini kwa raha zao.

Maharusi James W. Mwangwa na mkewe Bi. Mary C. Kimbi wakiwa katika picha na baadhi ya ndugu wa karibu.
Meza ya wazazi wa Bi. Harusi Mary C. Kimbi wakifuatilia matukio katika sherehe hiyo.
Bwana Harusi ya James W. Mwangwa (kulia) akimwangalia babayake akiandaa ndafu kwa ajili ya kulishana maharusi na wazazi wa maharusi.
Meza ya wazazi na ndugu wa karibu wa biharusi Mary C. Kimbi.
Bi. Harusi Mary C. Kimbi (katikati) akimlisha kipande cha ndafu mamamkwe. Kushoto ni mumewe akiwa na babayake wakishuhudia tukio hilo.
Wapambe wa maharusi wakiwa katika pozi ukumbini.
Burudani ukumbini….!
Ndugu na jamaa wa karibu wakikabidhi zawadi zao kwa maharusi wakati wa pongezi.
Zawadi kwa maharusi.
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa ukumbini.
Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia matukio katika hafla hiyo.

Makundi mbalimbali ya Ndugu jamaa na marafiki yakipata picha mara baada ya kutoa zawadi zao kwa maharusi.
Wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Oscar Munishi akimsikiliza MC wa shughuli hiyo (aliyeshika kipaza sauti) alipokuwa akitoa utaratibu ukumbini.

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi wa Harusi ya Bw. James Mwangwa na Bi. Mary Kimbi akisoma zawadi ya kamati yao.

Wataalamu wa kitengo cha uchanganyaji picha za mnato, katika sherehe hiyo wakiwa kazini.

Mama wa bwana harusi akizawadiwa na ndugu jamaa na marafiki ukumbini.
Ndugu wa karibu wa bwana harusi.
Wazazi wa bwana harusi wakizawadiwa na ndugu jamaa na marafiki ukumbini.
Shughuli ikiendeles…!
Kamati ya maandalizi ya sherehe hiyo ikicheza na maharusi wao mara baada ya kutoa zawadi.
Wageni waalikwa, ndugu, jamaa na marafiki wakiserebuka ukumbini.