Band ya Skylight Yaendelea Kutingisha Dar…!

Aneth Kushaba (wa kwanza kulia)akiimba kwa Furaha kuwapa burudani mashabiki wake ndani ya Thai village.

Aneth Kushaba (wa kwanza kulia)akiimba kwa Furaha kuwapa burudani mashabiki wake ndani ya Thai village.

Skylight Band Divas Mary Lukos(Wa kwanza Kushoto) Aneth Kushaba(katikati) Na Digna Mpera (Wa kwanza Kulia) wakitoa burudani ya nguvu Kwa Mashabiki Wao Ndani ya Kijiji cha Maraha Thai Village Ijumaa Iliyopita.Kila Ijumaa ya mwisho wa wiki Band Ya Skylight Wanapiga show Ndani ya Thai Village.Karibu Leo Upate burrudani ya nguvu yenye kukonga Roho yako na kutakuwa na Supriseeeeeee kibaoooo ndani ya Thai Village

          Hashimu Donode Akiimba kwa raha zake ndani ya Thai Village 

Shabiki huyu hakuweza kujizuia hisia zake pale alipoguswa na muziki mzuri uliokuwa ukiimbwa na Hashimu Donode.

Digna Mpera akizipiga zile voca; kali za kumtoa nyoka pangoni

Mary Lukos Akifurahi na kucheza ala nzuriiii toka kwa wapiga vyombo wa Skylight Band Hawapo Pichani.

Mary Lukos Akiimba Kwa Hisia kaliii Huku akipewa sapoti na Wenzake kushoto


Sony Masamba(mutoto ya Congo)akiimba kwa Raha zakee ndani ya Thai Village

Joniko Flower(mutu Ya Congo)Akizipiga zile vokali kaliii za kilingala ndani ya Thai Village

Vijana wa Skylight Band Joniko Flower(wa Kwanza Kushoto)Sony Masamba (katikati)Na Sam Mapenzi Wa mwisho kulia wakiyarudi mauno vilivyo kutoa burudani kwa mashabiki wao

Weweee Joniko Flower Akiwaongoza Wenzake kutoa burudani

Muziki ni raha na Hisia kama Sam mapenzi(wa kwanza kulia)anavyoonekana akiyarudi   mauno kwa rahaa zake

Hebu tazama mashabiki hawa wakiwa na mshangao wa furahaaaa kupata muziki mzuriiiiiiii huku wakichezaaaa kwa raha zaoooo

Hahaha Vijana wa Skylight hwa nao hakusita kucheza muziki mzuriiii uliokuwa ukiporomoshwa

Imma Mpiga Gita wa Skylight Band akizichana nyuzi vilivyooo ili kutoa burudani ya nguvuuuuuuu

Idrisa akizipiga drumsss zake kuleta redha ya muziki mzuriiiiiiiiii

Wapiga Kinanda wa Skylight Band wakifurahia ukodak wa nguvuuuu

Mpiga kinanda wa Skylight Band akivipiga vitufee vya kinandaa kwa rahaaa kabisa 

Mpiga Tumba wa Skylight Band Daudi Tumba  kitia ladha zake za tumba

Haya Skylight Band Huwa inawapenda sana mashabiki wake kama pichani inavyoonekana mashabiki hupata mda na wasaa wa kusheherekea siku zao za kuzali kwa kuimbiwa na kukata keki,Operation Manager Wa Mo Blog Zainul Mzige akilishwa keki ya Birthday kwa rahaa kabisaaa.

Burudani imenoga sasa Hebu jionee mwenyewe mashabiki hawa wakiyarudiiii vya kutoshaaa kwa rahaaa zaoooo.

Mpaka juu mpaka juuuuuu kwa rahaaa zao kabisa mashabiki hawaaaaa

Hapoooo sasa ni viunoooo viunoooo mpaka basiiii,wakifurahia muziki mzuri toka kwa bendi yao Skylight

Safi sanaaaaa Unaona kiunoooo kileeee mwisho katikati ni furaha ya muziki mzuri wa skylight Band

Mashabiki wakiendelea kufurahia muziki mzuriiiii

Tazama shabiki huyuuuu akifurahi na kushangaaa baada ya kupigwa moja ya nyimbo anazopendaaa

Hapo sasaaaaa unaambiwa mwanamke nyongaaaaaa

Mikono juuu mikono juuuuu mashabiki wakichezeshwa muziki na waimbaji wa Skylight Band

Nyomiiiiiii lakutoshaaaaa wakifurahia burudaniiii kwa raha zaooooo

Wanamanyoya haoooo wakipata ukodak wa nguvuuuuuuuuu

Operation Manager wa Mo Blog Zainul Mzige (wa pili toka kushoto) na wanamanyoya.

Cathbert Kajuna, mmiliki wa KajunaSon Blog (wa kwanza kushoto) akiwa na Hussein mmiliki wa Ujanatz Blog na Makubwa Haya  Blog na mkewe kulia.