Wakazi wa Halmashauri ya Meru Wafundishwa Virutubisho Lishe

Wakazi wa Halmashauri ya Meru mkoani Arusha, wakisikiliza elimu ya lishe kutoka kwa wataalamu katika kampeni za matumizi ya vyakula vyenye virutubishi zinazoendeshwa na serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Taasisi ya Chakula na Lishe, na Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania

Mtaalamu wa Lishe Tom Mwaipenye kutoka taasisi ya Foot Print, akiwaeleza akina mama waishio maeneo yanayozunguka hospitali ya Halmashauri ya Meru mkoani Arusha, umuhimu wa Virutubishi kwa afya bora ya mwili na akili za mtoto, ikiwa ni sehemu ya kampeni za kuelimisha umma juu ya faida za kutumia Virutubishi ili kuboresha afya. Kampeni hizi zinaendeshwa na serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Taasisi ya Chakula na Lishe, na Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania.

Akina mama waishio maeneo yanayozunguka hospitali ya Halmashauri ya Meru mkoani Arusha, wakipatiwa elimu ya lishe katika kampeni za matumiziya vyakula vyenye virutubishi zinazoendeshwa na serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Taasisi ya Chakula na Lishe, na Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania.