Wasanii wa Bongo Fleva Waosha Magari Kusaidia Jamii

Msanii Singo Mtambalike a.k.a Rich Rich (aliyeshika mpira wa maji) na msanii wa kike Bi. Kajala Masanja (aliyeshika ndoo) wakiosha gari la mteja aliyefahamika kwa jina la Furaha Mansoor (hayupo pichani) mara baada ya kufikia makubaliano ya kumuoshea gari mteja kwa ikiwa ni mchango wa kusaidia wahanga wa ajali za barabarani walio lazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Wasanii hao wakiosha gari hilo kwa gharama ya shilingi laki tano za kitanzania. Picha zote na Frank Shija, MAELEZO

Wasanii Johari Chagula (anayepaka sabuni) na Monalisa (aliyeshika mpira wa maji) wakiosha gari la mteja aliyefahamika kwa jina la Feisar (hayupo pichani) mara baada ya kufikia makubaliano ya kumuoshea gari mteja huyo ikiwa ni mchango wa kusaidia wahanga wa ajali za barabarani waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakiwa katika banda la Jaffarais Car Wash wakisubiri wateja kwa ajili ya kuwaoshea magari ikiwa ni mchango kwa ajili ya kusaidia wagonjwa walioko hospitali ya Taifa Muhimbili watokanao na ajali za barabarani. Tukio hili limefanyika  katika viwanja vya Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam. Picha zote na Frank Shija, MAELEZO.

Mkurugenzi wa Uhamasishaji wa Biashara na Masoko kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara, Bw. Odilo Majengo ambaye alimwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara katika maonyesho ya magari akifurahia zawadi ya Kikombe aliyopewa na Meneja Masoko wa Kampuni ya Kuunganisha wauzaji na wanunuzi wa magari Tanzania kupitia mtandao wa cheki.co.tz, Bw. Mori Bencus jijini Dar es Salaam.

Gari lenye uwezo wa kuimili katika maeneo yasiyo na barabara za uhakika likiendeshwa katikati ya dimbwi la matope kuonyesha uimara wake, hayo yamefanyika jijini Dar es Salaam katika maonyesho ya magari yanayoendelea katika viwanja vya Biafra Kinondoni. Picha zote na Frank Shija, MAELEZO