Tamasha la Magari Kufanyika Leaders Club Dar…!

Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya JAST Tanzania Limited, Jau Kessy akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Tamasha la magari linalotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 September, 2014 katika viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam ambapo pia mafundi wapatao 50 watatembelea Hospitali ya CCBRT kusaidia wanawake wenye Ugonjwa wa Fistula. Kushoto ni Mkurugenzi wa Josekazi Auto Garage, Joseph Mgaya. Hassan Silayo MAELEZO

Ofisa Fedha Mkuu wa Milembe Insurance, Dioniz Diocles akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Tamasha la magari linalotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 September, 2014 katika viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ja JAST Tanzania Limited, Jau Kessy.