Sakata la Kuhojiwa Freeman Mbowe na Jeshi la Polisi Dar

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiondoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi baada ya kuhojiwa kwa masaa kadhaa jana.

Mmoja wa wanachama wa CHADEMA akipelekwa mzobemzobe na FFU katika sakata hilo.

Mmoja wa waandishi wa Habari akila kichapo na askari wa FFU kwenye sakata hilo.

Kiongozi wa Chama cha Upinzani Tanzania (Democratic Party - DP), Mchungaji Christopher Mtikila akiwa kwenye bajaji naye akiwasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi.

Kiongozi wa Chama cha Upinzani Tanzania (Democratic Party – DP), Mchungaji Christopher Mtikila akiwa kwenye bajaji naye akiwasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi.

Mawakili wa CHADEMA, Marando (kushoto) na Prof. Safari wakiwasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Tanzania kusikiliza mahojiano wa Mwenyekiti wao Freeman Mbowe.

Polisi wa Mbwa wakilinda eneo la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kwa kutumia mbwa.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiwasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi tayari kwa kuhojiwa. Picha zote na Mpiganaji Joseph Senga.