Dk Bilal Afungua Mkutano wa Wanahabari na Vyombo Vya Ulinzi, Usalama

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) Picha na OMR

Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Kajubi Mukajanga, akizungumza kabla ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano huo, uliofanyika Septemba 17, 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

Baadhi ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dk. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Kajubi Mukajanga, wakati akiondoka mara baada ya kufungua mkutano huo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Asah Mwambene. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo baada ya ufunguzi rasmi. Picha na OMR