Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kulia) akikabidiwa tuzo na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (wa pili kushoto) kwenye Mkutano wa Wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika Arusha.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kulia) akipeana mkono na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (wa pili kushoto) kwenye Mkutano wa Wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika Arusha.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kulia) akiwasilisha mada kwenye Mkutano wa Wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika Arusha.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio wakiwa kwenye Mkutano wa Wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika Arusha.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kulia) akiwasilisha mada kwenye Mkutano wa Wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika Arusha.
Baadhi ya maofisa kutoka Benki ya Posta Tanzania, TPB pamoja na wageni mbalimbali waalikwa wanaoshiriki Mkutano wa Wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika Arusha.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (aliyeshikilia tuzo) akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wengine wa benki hiyo wanaoshiriki Mkutano wa Wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika Arusha.