Darasa la Saba Wafanya Mitiani Yao ya Taifa…!

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Tabata ya jijini Dar es Salaam wakipata mlo wa mchana baada ya kumaliza mitihani ya awamu ya asubuhi. Wanafunzi hao wanafanya mitihani yao ya taifa kumaliza elimu ya msingi.

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la Saba Shule ya Msingi Gilman Rutihinda na Mapinduzi zote za Jijini Dar es Salaam wanaofanya mitihani ya taifa kumaliza elimu ya msingi, wakiwa katika mapumziko ya mchana mara baada ya kumaliza mitihani yao ya asubuhi.

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba jijini Dar es Salaam wanaofanya mitihani yao ya taifa wakiwa katika mapumziko mara baada ya kumaliza mitihani ya awamu ya kwanza.

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Tabata ya jijini Dar es Salaam wakipata picha ya ukumbusho wakati wa mapumziko ya mchana baada ya kumaliza mitihani ya awamu ya asubuhi.