Sheria Ngowi Afanya Mazungumzo na JK Ikulu

Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (kulia) akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili masuala mbalimbali.

Rais Jakaya Kikwete akipitia baadhi ya 'sample' za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa Sheria Ngowi (kulia) IKULU Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand Haki Ngowi. Picha na Freddy Maro - IKULU.

Rais Jakaya Kikwete akipitia baadhi ya ‘sample’ za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa Sheria Ngowi (kulia) IKULU Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Makamu wa Rais wa
Sheria Ngowi Brand Haki Ngowi. Picha na Freddy Maro – IKULU.

Rais Jakaya Kikwete akijadiliana na Ujumbe Maalum Ukiongozwa na Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa kwanza Kulia) Ikulu jijini Dar es Salaam.

Picha ya pamoja kati ya Rais Jakaya Kikwete na Ujumbe Maalum Ukiongozwa na Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa kwanza Kulia) Ikulu jijini Dar es Salaam.