Karibu Arsenal: Danny Welbeck!

10599208_308351439337299_6269616021018864540_n

Kitu kimoja cha msingi ni kwamba Welbeck,23, bado ni mdogo kiumri na ingawa hana rekodi nzuri ya kufunga anaweza saidia kuongeza misuli na kashkashi kwa wapinzani na ni mzoefu tayari.

Karibu Danny!

SOURCE