Bondia Daud Mtandika Mwalimu…!

Bondia Hamaduu Mwalimu akimrushia konde Imani Daud wakati wa mchezo wao uliofanyika Tandika jijini Dar es Salaam, Daud alishinda kwa pointi katika mpambano huo.

Bondia Imani Daud kushoto akipambana na Hamaduu Mwalimu wakati wa mchezo wao uliofanyika Tandika jijini Dar es Salaam. Daud alishinda kwa pointi katika mpambano huo wa raundi sita.

Bondia Said Wigo akioneshana umwamba na Martin Richad wakati wa mchezo wao Wigo alishinda kwa K'O ya raundi ya pili.

Bondia Said Wigo akioneshana umwamba na Martin Richad wakati wa mchezo wao Wigo alishinda kwa K’O ya raundi ya pili.