Jaji Makame Azikwa Kijijini, Mama Salma Kikwete Ashiriki

Jaji Mkuu Mheshimiwa Chande Othman alikuwa ni miongoni mwa majaji wa Mahakama Kuu na Rufaa waliobeba mwili wa Marehemu Jaji Lewis Makame kuupeleka kwenye nyumba yake ya milele huko kijijini kwake Tongwe katika wilaya ya Muheza.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfarijiMama Mary Mbaga Makame, mke wa Marehemu Jaji Lewis Mhina Makame mara baada ya kuwasili kijijini Tongwe, wilayani Muheza kwa ajili ya mazishi tarehe 23.8.2014.

Mjane wa Marehemu Jaji Lewis Makame, Mama Mary akiweka shada la maua kwenye kaburi la mume wake Marehemu Jaji Lewis Makame wakati nwa ibada ya mazishi iliyofanyika huko Tongwe katika wilaya ya Muheza tarehe 23.8. 2014.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa msaidizi wake tayari kuliweka kwenye kaburi la marehemu Jaji Lewis Makame aliyezikwa kijijini kwake huko Tongwe.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la hayati Jaji Lewis Makame wakati wa mazishi yaliyofanyika katika kijiji cha Tongwe katika wilaya ya Muheza, mkoani Tanga tarehe 23.8.2014. PICHA ZOTE NA JOHN LUKUWI.

Mama Salma nKikwete akitoa neno la faraja kwa wafiwa mwishoni mwa ibada ya kumuombea marehemu Jaji Lewis Makame iliyofanyika katika kanisa Angilkana Tongwe huko Muheza.

Baadhi ya waumini na watu mbalimbali waliohudhuria ibada ya mazishi ya Marehemu Jaji Lewis Makame huko kijijini kwake Tongwe wilayani Muheza.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi .

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatana na Mama Mary Makame, mjane wa Marehemu Jaji Lewis Makame kuelekea kwenye ibada ya mazishi iliyofanyika katika kanisa Anglikana Tongwe huko Wilayani muheza tarehe 23.8.2014.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiaga mwili wa Marehemu Jaji Lewis Makame kijijini kwake huko Tongwe, wilayani Muheza tarehe 23.8.2014.