Dk Bilal Katika Sikukuu ya Wakulima Nanenane Mkoa wa Lindi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Sophia , wakatika Kilele cha Sikukuu ya Wakulima Nanenane iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo, Mkoani Lindi Agosti, 8, 2014. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na mmoja kati ya watoto waliokuwapo eneo hilo, wakati akitembelea mabanda hayo ya maonesho. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wakazi wa mkoa wa Lindi waliojitokeza katika Viwanja vya Ngongo wakati akitembelea katika mabanda ya maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane yaliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja hivyo jana. Picha na OMR

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr. Gharib Bilal akikaribishwa na Meneja masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi  wakati alipotembelea banda la shirika hilo katika maonyesho ya Nanenane kitaifa yaliyofungwa jana mjini Lindi na Mh. Makamu wa Rais Mh. Dr. Mohammed Gharib Bilal .

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr. Mohammed Gharib Bilal akisikiliza  maelezo kutoka kwa  Meneja masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi wakati alipokuwa akitembelea katika banda hilo jana mini Lindi.

3-1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  Dr. Mohamed Gharib Bilal akipata  maelezo kutoka kwa  Meneja masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi wakati alipokuwa akitembelea katika banda hilo jana mini Lindi.

5

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr.Mohamed Gharib Bilal akisikiliza  maelezo kutoka kwa  Meneja masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi wakati alipokuwa akitembelea katika banda hilo jana mini Lindi kushoto ni Waziri wa Kilimo na Chakula Mh. Christopher Chiza na Mkuu wa mkoa wa Lindi Mh. Ludovick Mwananzila.

7

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr.Mohamed Gharib Bilal akimuelezea jambo  Meneja masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi wakati alipokuwa akitembelea katika banda hilo jana mini Lindi.

9

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akisikiliza kwa makini huku Meneja masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi akisisitiza jambo wakati alipokuwa akitembelea katika banda hilo jana mini Lindi katika maonyesho ya Nanenane yaliyofungwa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia jambo na Mbunge wa Kilwa Murtaza Mangungu, wakati walipokutana kwenye viwanja vya Ngongo katika maonesho ya sikukuu ya wakulima Nanenane iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo, mkoani Lindi jana Agosti 8, 2014. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia kiatu huku akisikiliza maelezo kutoka kwa Mrakibu Mkuu wa Magereza, Yunge Saganda, kuhusu utengenezaji wa viatu hivyo wakati alipotembelea katika Banda la Jeshi la Magereza kwenye Kilele cha maonesho ya Sikukukuu ya Wakulima Nanenae iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi jana. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea baadhi ya mashamba ya mfano kujionea kilimo cha umwagiliaji wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho katika Kilele cha sikukuu ya Wakulima Nanenane iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo, mkoani Lindi jana. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Waziri wa Kilimo Maendeleo ya chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza, na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Lindi wakati akitembelea katika Mabanda ya Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo Mkoa wa Lindi, jan Agosti 8, 2014. Picha na OMR