Dk Bilal Amuaga Balozi mpya wa Tanzania Urusi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi, Luteni Generali Wyjones Matthew Kisamba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, Julai 28, 2014 kwa ajili ya kumuaga akielekea kuanza kazi. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na aliyekuwa Kaimu Balozi wa Ujeruman Tanzania, aliyemaliza muda wake, Hans Koeppel wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, Julai 28, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake. Kushoto ni Balozi mpya wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke, aliyefika kujitambulisha kuanza kazi. Picha na OMR