Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakichangia mada katika mkutano huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka akiwasilisha mada kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.
Mmoja wa wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza swali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.

Mkurugenzi wa Mfuko wa Wanawake Tanzania (WFT), Mary Rusimbi akiwasilisha mada katika katika mkutano wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakichangia mada katika mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakichangia mada mbalimbali.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba katika mkutano huo.
Mmoja wa wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza swali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.
Mmoja wa wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza swali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.
Baadhi ya washiriki na waratibu wa mkutano huo wakifuatilia mada mbalimbali.