Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) uliofanyika Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Bashir Mrindoko. PICHA NA ISMAIL NGAYONGA- MAELEZO.
2. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha- Rose Migirona (katikati) Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais- Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), Bw. Omari Issa.
3. Naibu Waziriwa Viwandana Biashara, Janet Mbene akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika l Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), JumanneSagini.