Mchepuko Wamponza, Anyweshwa ‘Unga’ Apoteza Fahamu

Mtu anayedaiwa kunyweshwa madawa ya kulevya na akinadada wanaofanya biashara za ngono akiwa ametelekezwa eneo la Kijitonyama/Bamaga jijini Dar es Salaam huku ajitambui kwenye gari huku watu aliokuwa nao wakiwa wamemsachi na kumpora kila kitu mifukoni huku akiwa ajitambui. Baadhi ya wasamaria kwa kushirikiana na askari wa kikosi cha usalama barabarani walimuokoa na kumpeleka kituo cha polisi kwa msaada zaidi. Baadhi ya mashuhuda walisema amenyweshwa dawa za kulevya na alitelekezwa na akinadada fulani na wao kuingia mitini.

Gari alilokuwa akilitumia mtu huo likiwa limezungukwa na watu huku akipewa msaada.