Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa Pensheni PPF Atembelea Maonesho ya Sabasaba

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi. Kulia ni Meneja Uhusiano na Masoko wa PPF, Lulu Mengele. Na katikati ni Mbaruku.

Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele akizungumza na waandishi wa habari kuelezea huduma mbalimbali za PPF zinazotolewa ndani ya banda la PPF viwanja vya Sabasaba.

Mmoja wa Wateja Wa Mfuko wa Pensheni wa PPF akifurahia huduma aliyopewa na Ofisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson wakati mteja huyo alipotembelea Banda la PPF katika Maonesho ya 38 ya Kibiashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Sabasaba.

Ofisa Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Anna Shayo akimuhudumia mteja aliyefika katika Banda la PPF kwa ajili ya kupata maelekezo juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko huo wa PPF.
Afisa Mafao wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Hellen Mollel (kushoto) akirufahia jambo na mmoja wa wateja wa PPF aliyefika katika banda la PPF kwenye Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea kufanyika katika Viwanja hivyo vilivyopo Barabara ya Kilwa Jijini Dar Es Salaam.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakimsikiliza kwa makini mmoja wa mteja aliyefika katika banda la PPF kwaajili ya kujiunga na Mfuko huo wa Pensheni wa PPF katika maonesho ya Sabasaba yanayoendelea kufanyika.
Ofisa Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa PPF, Mohamed Siaga akitoa maelekezo kwa mteja aliyefika kwenye dawati lake kwa ajili ya kupata maelekezo juu ya huduma mbalimbali za mfuko wa PPF katika maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.