WAZIRI MKUU AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA VIWANDA VIETNAM


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara wa Vietnam, Le Duong Quang (kulia) kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dars salaam Decemba 2, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akiagana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara wa Vietnam Bw. Le Duong Quang (kulia) baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Desemba 2, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)