Waziri Mwandamizi wa Singapore Afanya mazungumzo na Rais Kikwete

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo  na Waziri Mwandamizi anayeshughulikia Mambo ya Nje na Ndani wa Jamhuri ya Singapore, Mhe. Masagos Zulkifli, Ikulu jijini Dar es salaam Mei 6, 2014. Waziri huyo na ujumbe wake yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tano.  PICHA NA IKULU

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo  na Waziri Mwandamizi anayeshughulikia Mambo ya Nje na Ndani wa Jamhuri ya Singapore, Mhe. Masagos Zulkifli, Ikulu jijini Dar es salaam Mei 6, 2014. Waziri huyo na ujumbe wake yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tano. 
PICHA NA IKULU

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mwandamizi anayeshughulikia Mambo ya Nje na Ndani wa Jamhuri ya Singapore, Masagos Zulkifli, na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam Mei 6, 2014. Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tano. Wa pili kutoka kulia mstari wa mbele ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha, na kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania nchini India anayewakilisha pia nchini Singapore, John Kijazi 