Matukio ya Mkutano Mkuu wa Mwaka AFDB Jijini Kigali

Saada Mkuya Salum,Waziri wa Fedha akiagana na Mkurugenzi wa Benki ya HSBC baada ya majadiliano yaliyofanyika katika Hotel ya Mills Colonie Kigali Rwanda.

Mikutano ya Benki ya maendeleo ya Afrika inayoendelea Nchini Rwanda.

Waziri wa Fedha Saada M. Salum akimsikiliza kwa makini Bi. Erika Rubin mratibu wa mfuko wa Mkoba Fund wakati wa mkutano wao uliofanyika katika Hotel ya Serena Mjini Kigali Rwanda. Kulia kwa  Waziri ni Nd.Jovin Rugemarila Afisa anayeshughulikia masuala ya ADB na mbele yake ni Kamishina msaidizi wa Fedha za nje – Wizara ya Fedha Nd.Jarome Bureta.

Saada Salum Mkuya akiwa kwenye mazungumzo ya faragha na mratibu wa Mkoba Fund Bi.Erika Rubin mara baada ya mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa Muhabura Mjini Kigali Rwanda.