Katibu Mkuu CCM Awasili Singida, Atingiza Itigi…!

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akifukia mti bada ya kuupanda kama kumbukumbu ya kushiriki ujenzi wa jengo hilo la maabara katika shule ya sekondari Mgandu, iliyopo katika kijiji cha Kayui Manyoni Magharibi, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida, Mei 19, 2014.

Wananchi wakimshangilia Kinana wakati akihutubia mkutano hadhara kwenye Uwanja Relini, Itingi wilayani Manyoni Manyoni mkoani Singida.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara, Mei 19, 2014, kwenye Uwanja wa Reli, Itigi wilayani Manyoni, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida.

Katibu Mkuu CCM Awasili Singida, Atingiza Itigi...!
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), akisaidiwa na Mbunge wa Manyoni Magharibi, Paul Luanje, kuwapa mafundi bati waliokuwa wakipaua, jengo la maabara katika shule ya sekondari Mgandu, iliyopo katika kijiji cha Kayui Manyoni Magharibi, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida, Mei 19, 2014.