Jamii Forums Wawavuta Wengi Maonesho ya Biashara ya Uturuki

Baadhi ya wateja waliotembelea banda la Jamii Media wakipata maelezo toka kwa wafanyakazi na viongozi wa mtandao huo na wengine kujisajili na mtandao huo.

Baadhi ya wateja waliotembelea banda la Jamii Media wakipata maelezo na wengine kujisajili na mtandao huo.

Mteja (kushoto) akisajiliwa baada ya kupata maelezo na kuridhika.

Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo (kushoto) akijibu maswali ya mmoja wa wateja aliyekaa alipopita katika banda hilo leo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo (kushoto) akijibu maswali ya mmoja wa wateja aliyekaa alipopita katika banda hilo leo.

Baadhi ya wateja waliotembelea banda la Jamii Media wakipata maelezo toka kwa wafanyakazi na viongozi wa mtandao huo na wengine kujisajili na mtandao huo.

Baadhi ya wateja waliotembelea banda la Jamii Media wakipata maelezo toka kwa wafanyakazi na viongozi wa mtandao huo na wengine kujisajili na mtandao huo.

Mhariri wa mtandao wa dev.kisakuzi.com (www.thehabari.com), Joachim Mushi akifuraia jambo na mmoja wa wakurugenzi wa Jamii Media (hayupo pichani) alipotembelea banda hilo.

KAMPUNI ya Jamii Media wamiliki wa mitandao maarufu ya mijadala kwa jamii kupitia mitandao ya jamii, JamiiForums na Fikra Pevu nchini Tanzania imevuta watazamaji wengi kutembelea banda lao lililoshiriki katika Maonesho ya Biashara ya Bidhaa za Uturuki na Tanzania yaliofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.

Wananchi wengi waliotembelea katika maonesho hayo walikuwa wakipita katika banda la Jamii Media na kupata maelezo juu ya namna mitandao hiyo inavyofanya kazi na ilivyo na manufaa kwa watumiaji (jamii kwa ujumla).