Dk Shein Afanya Mazungumzo na Naibu Waziri Mambo ya Nje wa Vietnam

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na ujumbe wake.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na ujumbe aliofuatana nao. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]