Mama Salma Kikwete atimiza miaka 47 JK Acharaza gitaa kumpongeza.

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimlisha keki Mama Salma Kikwete wakati wa hafla fupi ya kifamilia ya kumpongeza Mama Salma kwa kutimiza miaka 47 jana ikulu jijini Dar es Salaam


Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akilicharaza gitaa wakati alipowaongoza wanafamilia nyumbani kwake kumpongeza mkewe Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka 47 jana.Picha na freddy Maro.