Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) leo,viwanja wa mafunzi kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi Unguja,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ,Haji Omar Kheri na Mkuu wa KMKM Komodore Hassan Mussa(kulia).[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya hesha ya gwaride la Maofisa wakati ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maofisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi Unguja.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Hassan Omar Othman, akiwa ni miongoni mwa Maafisa waliofanya vizuri zaidi katika mafunzo, wakati wa ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) viwanja wa mafunzo kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi Unguja.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Maofisa wanafunzi wakitoa heshima ya gwaride maalum katika hafla ya ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maofisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) yaliyojumuisha wahitimu 97,wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwa mgeni rasmi katika uwanja wa mafunzo kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi Unguja.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Kikisi cha Bendera cha Maafisa wanafunzi wakipita mbele kwa heshima katika hafla ya ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) leo yaliyojumuisha wahitimu 97,wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwa mgeni rasmi katika uwanja wa mafunzo kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi Unguja.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]