Trafiki Anaposimamisha Gari kwa Kutumia Makalio…!

Kuna mbwembwe nyingi na ubunifu katika kazi na fani za watu lakini wakati mwingine nyingine zinapitiliza na huwenda zikakuumbua. Hii imetokea nchini Nigeria ambapo askari wa usalama barabarani alipokuwa akilisimamisha gari na kulizuia lisiendelee kwa kutumia makalio. Angalia hapa trafiki mdada akijitahidi kulizuia gari kwa kutumia makalio, huku mwenzake akitoa amri kwa dereva akiwa ubavuni.

Yaonekana dereva alikaidi amri hiyo na kuamua kuondoa gari hali iliyomfanya trafiki mdada kula mweleka huku akiangusha kofia yake. Duh kweli hii ni hatari lakini salama.

Trafiki mdada akiwa chini baada ya kula mweleka akivutana na dereva aliyekaidi amri yao huku akiangusha kofia yake. Duh kweli hii ni hatari lakini salama.