Huu ni Msimu wa Miogo Tanzania, Zijue Faida zake!

20140503-215911.jpg

20140503-220010.jpg

20140503-220036.jpg

Virutubisho vya muogo vinatoka kwenye madini ya zinc, iron, na magnesium, ambayo yanasaidia damu kusambaza oksijeni mwilini. Kwa kiasi kidogo cha Potassium, vyakula vilivyoandaliwa na mihogo, kwa hakika husaidia kuzuia shinikizo la damu mwilini.

Majani ya Mihogo ni chanzo kizuri cha vitamini K, ambavyo vinakuza seli mwilini na kukomaza mifupa. Hizo ni faida chache tu za mihogo, kwa mujibu wa answers.com. Hivyo basi, usipitwe!

Chanzo: Answers.com

Picha Zote na Mpiga Picha Maalum wa Thehabari, Dar