Ujumbe wa Leo!

20140501-093129.jpg
Tumegundua hizi jumbe za mjini Dar huwa zinajibishana kwasababu kuna ujumbe mmoja (kwenye Bodaboda) tuliweka hapa ulikuwa unasema “Usije Mjini” na huu wa leo kwenye Bajaji unasema “Mjini Hafukuzwi Mtu” hivyo ndio viroja vya Dar!

Picha na MpigaPicha Maalum wa Thehabari, Dar