Ujumbe Wa Leo!

20140426-214905.jpg
Hapo ni Kinondoni Mkwajuni, dereva wa Bodaboda, alinaswa na Mpiga picha wetu akiwa amelala juu ya pikipiki yake, bila shaka baada ya kuchoka kusubiri abiria huku ujumbe wake ukimrudia mwenyewe “Usije Mjini” Ina maana ana waonya vijana wasije kutafuta rizki mjini kwasababu mambo magumu?

20140426-215402.jpg
Ujumbe!

Picha Zote na Mpiga Picha Maalum wa Thehabari, Dar- Es- Salaam