Bustani ya Kupumzikia Yageuzwa Makazi!

20140424-211229.jpg
Pichani, ni eneo la Umoja Wa Vijana, Mtaa wa Kipande karibu na Exim Bank, inaonekana nguo zikiwa zimeanikwa kwenye Bustani hiyo au kwa ung’eng’e Park.

20140424-211447.jpg

Kwa mbaliii, anaonekana kijana akiwa ameuchapa usingizi chini ya viti vya bustani.


Video hii, kijana anaonekana akikojoa nyuma ya benchi la Bustani. Kwa mtaji huu, bustani hii itakalika?

Picha Zote na Video na Mpiga Picha Maalum wa Thehabari, Dar-Es-Salaam.