Thehabari leo ilivinjari maeneo ya Mto Mzinga, eneo la kwa Mpalange, Manispaa ya Temeke, na kushuhudia biashara ya kuvusha watu ikiendelea kutoka upande mmoja wa Maji Kwenda mwingine. Pichani,wanafunzi (watoto)wakiwa wamebebwa na watoa huduma. Thehabari iliweza kugundua kwamba watu wazima hutozwa shillingi 500 ili kuvushwa.
Uvushaji ukiendelea
Wakati huo huo, vijana wengine wamebuni ajira ya kujikusanyia mchanga unaopatikana oembezoni mwa fukwe na kuuuza. Ama kweli “kufa kufaana”
Mchanga kwa ajili ya mauzo
Picha zote na Mpiga Picha Maalum wa Thehabari, Dar