Mwananchi- Usifikiri Dampo, ni Kituo Cha Daladala!

20140422-190820.jpg

20140422-183534.jpg

20140422-183408.jpg

Picha ya kwanza, inaonyesha chakula (mapaja ya kuku) kikiuzwa pembezoni mwa kituo cha Mabasi, Banana, wilayani Ilala. Meza zimewekwa juu ya mifereji ya kupitisha Maji ya mvua, ambayo nayo imejaa taka za aina mbalimbali.

Picha ya pili ni wakazi wakipita kwa taabu juu ya Maji yenye kinyesi, baada ya baadhi wa wananchi kutumia fursa hii ya mvua kutapisha vyoo!

Picha ya tatu (mwisho), ni Kituo cha mabasi Banana, Wilaya ya Ilala. Katika Kituo hicho yanapatikana mabasi yakwenda; Kitunda, Mwanagati, Kivule, Kibeberu, nk. Thehabari imegundua kwamba Kama Mamlaka husika kazitochukua hatua za haraka, mlipuko wa Kipindupindu haupo mbali.

Picha Zote na Mpiga Picha Maalum wa dev.kisakuzi.com, Dar Es Salaam.