Angalia Matukio Katika Picha Ziara ya dev.kisakuzi.com Mkoani Mbeya…!

Ziara ya dev.kisakuzi.com Mkoani Mbeya

Kinachoonekana ni moshi ukitoka kwenye baadhi ya nyumba za wenyeji vijijini, si kwamba nyumba inaungua bali ni aina ya maisha kukoka moto wa kuni ndani ili kuleta hali ya joto ndani ya nyumba kuidhibiti baridi. Hizi ni baadhi ya nyumba Kijiji cha Usoha Njia Panda.

Hali ya hewa ni ya ukungu mvua za kila mara na baridi inaendelea, je wajua wakazi wa huku wanadhibiti vipi baridi ! Endelea...!

Hali ya hewa ni ya ukungu mvua za kila mara na baridi inaendelea, je wajua wakazi wa huku wanadhibiti vipi baridi ! Endelea…!

Kilimo cha viazi mbatata ambavyo ni maarufu sana maeneo ya mijini kwa ajili ya chakula kijulikanacho kama chipsi; baadhi ya wakulima wakifunga magunia ya viazi hivyo kata ya Maendeleo Mbeya Vijijini tayari kwa kusafirishwa mjini kwa matumizi.

Waijua Pareto weye; pichani hili ni moja ya zao la biashara Wilaya ya Mbeya  Vijijini, inajulikana kwa jina la Pareto.

Kuna hali ya balidi ya kutosha vua inaendelea kiaina, watoto hutakiwa kuwa kwenye nguo nzito kama sweta kudhibiti baridi lakini kwa wasiokuwa na uwezo hawana jinsi. Wao ni pekupeku bila sweta huku wakijikunyata kuashiria baridi. Hali hii wameizoea na nikawaida mgeni waweza kubaki mdomo wazi...maisha yanaendelea.

Kuna hali ya balidi ya kutosha vua inaendelea kiaina, watoto hutakiwa kuwa kwenye nguo nzito kama sweta kudhibiti baridi lakini kwa wasiokuwa na uwezo hawana jinsi. Wao ni pekupeku bila sweta huku wakijikunyata kuashiria baridi. Hali hii wameizoea na nikawaida mgeni waweza kubaki mdomo wazi…maisha yanaendelea.

Safari ya kuelekea vijiji mbalimbali wilaya ya Mbeya Vijijini haikuwa rahisi, wakati mwingine tulilazimika kushuka kwenye pikipiki tulizokuwa  tukizitumia na kutembea kwa miguu; ni kwenye miinuko iliyo na utelezi na mvua ikinyesha.

Tukiwa na wapambanaji wenzanu kutembelea wananchi kijiji cha Usoha Njiapanda, mguu kwa mguu nyumba kwa nyumba...!

Tukiwa na wapambanaji wenzanu kutembelea wananchi kijiji cha Usoha Njiapanda, mguu kwa mguu nyumba kwa nyumba…!

Huku Kata ya Tembela tunalima kabeji pia kutokana na hali ya hewa kuruhusu; pichani kabeji ikipakiwa kwenye gari tayari kuelekea mjini .

Mitaa ya eneo la Kabwe, Mbeya Mjini. Mizunguko kuangalia madhari ya jiji..!

Mitaa kwa mtaa eneo la Kabwe, Mbeya Mjini. Mizunguko kuangalia madhari ya jiji..!

Nyama choma safarini, njiani kuelekea mkoani Mbeya.

Stendi ndogo ya Iringa maarufu kwa jina la Ipogoro, tukiwa njiani kuelekea Mkoani Mbeya...!

Mitaa ya eneo la Kabwe, Mbeya Mjini. Mizunguko kuangalia madhari ya jiji..!

Mitaa ya eneo la Kabwe, Mbeya Mjini. Mizunguko kuangalia madhari ya jiji..!

Nikiwa Kata ya Maeneleo Kijiji cha Ikhoha Mbeya Vijijini; picha ya ukumbusho toka kwa bodaboda wangu...!

Nikiwa Kata ya Maeneleo Kijiji cha Ikhoha Mbeya Vijijini; picha ya ukumbusho toka kwa bodaboda wangu…!

Mfikemo Hoteli ndiyo sehemu ya kambi yetu ilipopigwa jioni baada ya mizunguko ya vijijini.

Asante kampuni ya mabasi ya Upendo kwa kutusafirisha salama kutoka na kurudi Dar es Salaam katika safari yetu ya kuitembelea Mbeya.

Kwa heri Mbeya na Karibu Tena ukivutiwa ......!

Kwa heri Mbeya na Karibu Tena ukivutiwa ……!