Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi za Bunge mjini Dodoma kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake wakati wa kuchambua sura ya kwanza na ya sita kwenye rasimu ya Katiba. Kulia ni Makamu wake, William Ngeleja. Kamati hiyo imepitisha ibara zote za sura hizo kwa kura za 2/3.
Katibu Mkuu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Kajubi Mukajanga akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma (kushoto), na kulia ni Ofisa Habari wa Bunge Owen Mwandumbya. Picha na Magreth Kinabo.