Mwenyekiti wa Kamati namba kumi(10) ya Bunge Maalum la Katiba Paul Kimiti (katikati) akiongoza mjadala wa Kamati hiyo leo mjini Dodoma wakati wanapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya.
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kamati namba nne (4) wakiwa katika kikao mjini Dodoma cha kupitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba kwa ajili ya kuiboresha.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Salehe Nassoro Juma akitoa mchango wake mjini Dodoma kuhusu muundo wa muungano wakati wa kikao cha Kamati namba nne (4) kilichokuwa kinapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda (kulia) akitoa mchango wake mjini Dodoma wakati wa kikao cha Kamati namba mbili (2) kilichokuwa kinapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Machano Othman Said akitoa mchango wake leo mjini Dodoma kuhusu muundo wa muungano unaofaa wakati wa kikao cha Kamati namba nne (4) kilichokuwa kinapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya.