Wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda Wapewa somo

2.	BaadhiyaWafanyakaziwaWizarayaViwandanaBiasharaambaoniwajumbewaBaraza la WafanyakaziwanaoshirikimkutanowaoJijiniDsm

2. BaadhiyaWafanyakaziwaWizarayaViwandanaBiasharaambaoniwajumbewaBaraza la WafanyakaziwanaoshirikimkutanowaoJijiniDsm

WafanyakaziwaWizarayaViwandanaBiasharawametakiwakuongezajuhudinaubunifukatikautendajiwakaziilikuiwezeshaWizarahiyokufikiamalengoyakeiliyojiwekea.
WitohuoumetolewanaWaziriwaViwandanaBiasharaMhe.DktAbdallahKigoda, wakatiakifunguaMkutanowaBaraza la WafanyakaziwaWizarahiyounaofanyikakwasikumbiliJijini Dar Es Salaam.

1.	WaziriwaViwandanaBiasharaDktAbdallahKigoda( Katikati), KatibuMkuuwaWizarahiyoBwUlediMussa( Kushoto) naNaibuKatibuMkuuwaWizarahiyo Bi Maria Bilia (Kulia), wakifuatiliamkutanowaBaraza la WafanyakaziwaWizarahiyounaofanyikaJijiniDsm.

Dkt. Kigodaamesema, WizarayaViwandanaBiasharainajukumukubwakatikakuboreshaUchumiwaNchihivyowafanyakazihawanabudikufanyakazikwabidiinaubunifuilikuiwezeshaWizarakupatamatokeoyaliyokusudiwa.
“Fanyenikazikwabidii, kwamaarifanaubunifumkubwa. Epukeniuzembe, ukiritimbausionasababuzamsinginazaidiyayote, tujitangazeiliUmmaufahamukikamilifujitihadazetukatikakukuzauchumi’’.
AwaliakimkaribishaMhWaziri, KatibuMkuuwaWizarahiyoBwUlediMussaamesema, UongoziwaWizarahiyoutaendeleakufanyajitihadazakuboreshamaslahiyawafanyakazi, mazingirayakufanyiakazinakuondoakerombalimbalimbalizinzowakwazawatumishi.
Kwaupande wake MtoamadakatikaMkutanohuo Bi HonestaNgollykutokaambaeniAfisaElimuKazikutokaTumeyasUsuluhishinaUamuzi CMA, amewatakawatumishinaViongoziwaWizarakutimizawajibuwao, kuheshimusherianamiongozoyakaziilikuepushamigogorokatikasehemuzakazi.