NIC Bank Yawakumbuka Watoto wenye Mtindio wa Ubongo

 Meneja wa benki ya NIC Mbuche Mgawa  wa nne kulia akipokea maelezo kutoka kwa bibiMary Robert Kaswende meneja wa kituo cha Dymphna Special school iliyopo sakina
kwa idd mara baaada ya kuwasili shuleni hapo.

 

 Watoto wa shule maalum ya Dymphna wakiwasikiliza
wageni ambao ni wafanyakazi wa benki ya NIC
 Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa
shukrani kwa benki ya NIC
Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa
shukrani kwa benki ya NIC, na BENKI YA NIC wakiwa pamoja na misaada waliyobeba
na watoto wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ziara ya kuwatembelea
kituo hichon ambvacho ni maaalum kwa ajili ya kutoa elimu kwa watoto wenye
matatizo ya mtindio wa ubongo.