Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete juzi katika kampeni zake alikutana na changamoto akiwa katika Kijiji cha Kikwazu baada ya kukutana na maafa ya shule ya Msingi kuezuliwa paa zote za madarasa ya shule hiyo kasoro darasa moja. Pichani ni Ridhiwani Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu Shule ya Msingi Kikwazu iliyo ezuliwa paa na kimbunga mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu linalotumika.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwwazu iliyong’olewa paa na kimbunga mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu linalotumika.
Michuzi
.” src=”http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/03/30.jpg” width=”640″ height=”426″ /> Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kifuleta,Kata ya Mbwewe jana Machi 23,2013.Picha na Othman Michuzi.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM), Ridhiwani Jakaya Kikwete akizindua shina CCM la vijana wa boda boda katika kijiji cha Pongwe Kiona, jana Machi 23,2013.Picha na Othman Michuzi
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM), Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa Makini, Mzee Rajab Seif Kabeilwa ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa Mzee Mrisho Kikwete ambaye ni Babu yake, wakati alipokwenda kumsalimia kijijini kwake,Pongwe Kiona jana Machi 23, 2013. Picha na Othman Michuzi.