Kampuni ya Ujerumani Kuwekeza Kiwanda cha Mbolea kwa Kutumia Gesi Asilia

Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akisisitiza jambo katika mazungumzo na ujumbe wa kampuni ya Helma Dungemittel kutoka Ujerumani ambayo ina mpango wa kuwekeza kwenye kiwanda cha kuzalisha mbolea kwa kutumia gesi asilia.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akiongea ofisini kwake jijini Dar es Salaam na ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel ambayo ina mpango wa kuwekeza kwenye kiwanda cha kuzalisha mbolea kwa kutumia gesi asilia. Pembeni yake ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Oliver Mehl.

Ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel ukimsikiliza waziri.

Wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakifuatilia mkutano huo.

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel, Bw. Oliver Mehl akitoa maelezo juu ya ujio wao na kuelezea mambo watakayoyafanya.