Diwani wa CCM Awapigia Magoti Wananchi Kumuombea Kura Mgombe Ubunge Mgimwa

Diwani wa kata ya Mgama Bw. Denis LupCala akipiga magoti kumuombea kura mgombea wa CCM Bw. Godfrye Mgimwa.

Diwani wa kata ya Mgama Bw. Denis LupCala akipiga magoti kumuombea kura mgombea wa CCM Bw. Godfrye Mgimwa.

1

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Ilandutwa kata ya Mgama Iringa vijijini akiendelea na mikutano mbalimbali ya kampeni ambapo amewaomba wananchi wa vijiji hivyo kumkopesha imani  yao na kumpa kura za ndiyo siku ya machi 16 jumapili ijayo ili aweze kuwalipa maendeleo katika jimbo hilo.

2

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa na Ndugu Jesca Msambatavangu Mwenyekiti wa CCM Iringa wakiimba wimbo mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Itwaga.

3

Msanii Dokii akitumbuiza katika kijiji cha Itwaga kabla ya kuanza mkutano huo.

4

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kucheza ngoma na msanii Dokii katika kijiji cha Itwaga kabla ya mkutano huo kuanza wa pili kutoka kulia ni Ndugu Jesca Msambatavangu Mwenyekiti wa CCM Iringa.

5

7

Wananchi wakinyanyua mikono yao juu kumuunga mkono Bw. Godfrey Mgimwa, 8

Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano wa kampeni katika kijiji cha Itwaga. 9

Wananchi wakirejea nyumbani mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo. 10

Katibu wa CCM mkoa wa Iringa . Hassan Mtenga wa pili kutoka kushoto na  kutibu wa CCM mkoa wa Mtwara Bw. Akwilombe wakiteta jambo wakati wa mkutano wa kampeni katika kijiji cha Ilandutwa kulia ni Meja Mbuta meneja wa kampeni hizo na kushoto ni Mwampamba kada CCM kutoka UVCCM.  12

Wananchi wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgombea ubunge huyo. 13

Wananchi wakinyanyua mikono yao juujuu kuashiria kumkubali mgombea huyo.

11

Wananchi wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgombea ubunge huyo.

Picha Zote na FullShangwe Blog, Kalenga